Chid Benz alipata Tatizo katika Mguu wake na sasa ni zaidi ya mwaka bado hajapata matibabu yanayoeleweka.
Huu mguu wake umeshaanza kutoa harufu Kali inayoashiria Tatizo ndani yake.
Kwa bahati Mbaya hajapata Matibabu yoyote imara yenye kuweza kumfaa huyu Kijana kupona.
Kama ilivyo watanzania...
Yeah...!!
Aaah Aah Aah
Dar es salaam stand Up Again..
Kg song
Chuma.
Aaah Aaah Aaah
Verse.. 1. ( chid benz).
Najulikana kama Ugali msingi na Secondari/ Boma primary mita chache na usawa wa Bahari/ Rashind Abdallah nyota kutoka kwa Allah /nipo hapa kama ishara Imara kazi fundi seremala...
Mmemsikia King Kong lakini?
Rapa Chidi Benz anadai kuwa staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz alisababisha wimbo wake upotee baada ya kuingiza chorus bila ridhaa yake na kisha kuutelekeza studio kwa S2kizzy.
Soma, Pia:
Chid Benz hakuna unachomdai Diamond na hausiki kabisa na matatizo yako
Chid...
Watu wanasema sana kuhusu ile biti ya Dar Stand Up ya CHID BENZ. Ambayo ilinyongwa na Marehemu Pancho Latino ni biti kali sana,Pia Rashid alikuwa kwenye prime yake.
Zikitajwa biti alinyonga Latino zinatajwa nyingi lkn Dar Stand Up inatajwa zaidi,Sio kitu kibaya lakini.
Lakini huyu jamaa kuna...
Kila mwanaume ana vigezo maalum au sifa anazozitazamia kwa mwanamke ambaye angependa kuwa naye kwenye ndoa, na mara nyingi tabia hizi zinakuwa ni msingi muhimu kabla ya kuingia kwenye mahusiano. Msanii wa muziki wa Hip Hop, Rashidi Abdallah, maarufu kama Chidi Benz, amefunguka kuhusu aina ya...
PROFESOR JAY FT CHID BENZ - MSILIE. ( PRODUCER LAMAR) 41 records..
Verse .. 1.
Yeah! Na muomba Mungu ili tuweze kuyakabili/ yanayojili mengi wahenga waliyatabili/ ona nyumba za ibanda leo zimengeuka biashara/ unapata neno la Mungu baadae tiba mbadala/ unafanya usichopenda Wana hubiri...
Inasemekana Langa alikuwa miongoni mwa "WACHOYO WA KOLABO" na hata ile NINAPOSIMAMA, Chid alimchana akiwa booth kwa Lamar na Dunga na kusema, sikubali, mtu gani unafanya ngoma mwenyewe tu, hii, tunafanya wote na ndipo akaja na " ONE TO ONE NA AMBII KA REFARII, RECORD HII YA 41" Ebana ee!! Hii...
Hali ya Msanii wa Hiphop Rashidi Makwilo (Chidibenz) inasikitisha sana sana, Siku za hivi karibuni amekua akiishi Msasani (Maandazi road) maskani moja na mateja, Kinachonisikitisha zaidi jamaa anaonekana hayuko sawa kiafya miguu imevimba, anaonekana aliumia na hajapona vizuri,miguu ameifunga...
Huwa nikimsikiliza sianzi Kumhukumu kwa Madhaifu yake na yaliyompata ila nakuwa makini sana kusikia kile ambacho anakitoa kutoka katika Kinywa chake na hakika huwa navutiwa mno na Madini yake ambaye unaweza hata usiyapate kutoka kwa PhD Holders, Maprofesa na Wasomi wengine nchini.
Kama akitokea...
Habari wakuu
Hivi mbona msanii chid benz haponi kile kidonda chake cha mguuni maana tangu ameanza kuumwa kile kidonda sasa yawezafika mwezi wa nne au watano, nini tatizo?
Maana Jana kapanda stejini na yeboyebo inaonyesha bado anashida mguuni.
Ndugu zangu wa Hip hop nawaomba hapa kidogo tuwekana sawa.
Wanasema kwenye pick yake The Late Albert Mangwair alikuwa mkali sana wa freestyle yani mitindo huru. Na sifa kuu alikuwa na uwezo mkubwa wa kukaa kwenye topic bila kutoka nje ya mada huku akifreestyle tu(nlimsikia juzi kati fareed...
Kama wewe ni shabiki wa Chid Benz na umekuwa ukifuatilia mahojiano yake utagundua kuwa hayupo sawa.
Chid Benz amekuwa na Interviews nyingi ambazo zimekuwa zikitumiwa kama kichekesho kwa baadhi ya watu waliokosa uungwana.
Chid amekuwa anaulizwa maswali na anajibu tofauti hali unayofanya tuhisi...
God bless.
Mashabiki wa Ninja tumefurahi sana kwa alicho kifanya mwamba kwenye mkwaju Nasikia harufu.
Huyu ndio Chidy tulie mjua.
Chidy umefunika sana kwenye hilo goma. Kwa ulicho kifanya Chidy kwenye hilo Goma kama ni mchezaji basi we Pacome.
Simu ziite simu ziite.
# Maurine sio mtamu...
Wasalaam.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema nimeona interview ya mama yake Chid Benz na Clouds tv kwenye kipindi cha Shajara.
Huyu mama kwakweli yeye mwenyewe hajakubali kama mwanaye ana shida yaani hana Imani kabisa kwamba Chid ana shida.
Hii inaweza kupelekea Chid asipate unafuu...
Nimeona Chid analalamika kaimba na Diamond ila ajalipwa pesa.
Ni hivi Chid Benz ana wimbo unaitwa Tunaishi nao kamshilikisha Diamond Platnumz.
Chidi analalamika mtu ambaye kamshilikisha kwenye wimbo wake ajamlipa. How come mwenye wimbo anataka alipwe na aliyepewa colabo?
Diamond aliamua...
Umepewa Playlist tatu hapa zina ngoma za
1. Prof. Jay, AY & Chid Benz
2. Fid Q, Mwana FA & Joh Makini
3. Ngwair, Langa & KingZillah, Utasikiliza kundi gani hapo?
Aliwahi kusema Ndugu. Haruna Rashid Juma Kahena almaaruf kama Inspekta Haroun kwenye wimbo Ngangari kwamba
" KULONDA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE" ambayo ni maneno ya kizaramo yanayo maanisha " KUTAKA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE"
( KIZARAMO : Kulonda = kutaka).
Hapo Inspekta alikuwa...
Sina shaka na uwezo wa Chid Benz. Kwenye Greatest rappers wangu wa muda wote anachukua namba 5.
Wengi wanasema Collabo yoyote akiwemo Chid Benz hawezi kufunikwa kamwe.(Hapa nakataa kidogo)
1. UKISIKIA PAAH YA JCB,FID,Q,JAY MOE NA CHID BENZ.
Humu Chid Benz alifunikwa vizuri tu na Juma...
Ameyasema hayo akiwa anaongea na Dotto Magari. " Unajua duniani hakuna Mungu. Yale matendo mazuri unayo fanya ndio Mungu n.a. matendo mabaya ndio shetani" alisikika akisema Rashidi Abdallah Makwiro almaarufu Chid Benzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.