chief odemba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Live: mdahalo wa wagombea wa Bavicha taifa na Chief Odemba

    === Fuatlilia Mdahalo wa wazi wa Vijana wa CHADEMA wakifanya mdahalo wa wazi katika kutekeleza Demokrasia kwa Vitendo. https://www.youtube.com/live/YtIJ2C2X2Pg?si=ouOhJNbacE7DLlke
  2. Bezecky

    Pre GE2025 MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi

    Kumekucha ila ngoja tuone Miamba hii miwili ya CHADEMA itakavyomenyana mbele ya Wananchi, Tuendelee kumwomba Mungu ili sote tufike salama 2025. ==== Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025, siku ya jumamosi kuanzia saa 3:30 Usiku hadi saa 6:00 Usiku, mahali...
  3. Gabeji

    Chief Odemba star tv nakuomba andaa mdahalo Kati ya lisu na mbowe tuwapime kwa hoja kama Mbowe atagombea .

    Watanzania na wanachadema, wapenda mageuzi, wapenda mabadiliko, wachague mwenye hoja na sio blah blah, I'li tuone democrasia ndani ya chadema inafanyika
  4. B

    Chief Odemba: Nimeanza mazungumzo ya awali ya mdahalo baina ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe

    Nimeanza mazungumuzo ya awali ya kutaka kuweka mdahalo baina ya wagombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mazungumuzo yatakapokamilika nitatangaza siku ya mdahalo, nawatakia maandalizi mema ya mchakato wa uchaguzi. Ameandika Chief Odemba kwenye mtandao wa X.
  5. chiembe

    Star TV na Chief Odemba wanaweza kushtakiwa na Paul Makonda kwa kukashifu, na wakalipa mabilioni ya shilingi

    Naona Start TV wanaruhusu Odemba, mwandishi wao aendeshe vipindi vya kukashifu bila hata kutoa haki ya kusikiliza upande wa pili. Nashauri Makonda au watu wengine wanaokashifiwa na Odemba katika kujitafutia umaarufu binafsi na wa chama chake cha chadema, sasa wamburuze Mahakamani ili walipe...
  6. Ileje

    Baada ya mahojiano ya Chief Odemba na Tundu Lissu leo nimeelewa kwa nini dereva yuko Ubeligiji

    Itakumbukwa kuwa IGP Simon Siro alisema polisi wameshindwa kuendelea na uchunguzi wa kisa cha Tundu Lissu kupigwa risasi kwa sababu hakuwepo Tanzania. Lakini hata baada ya Lissu kurejea nchini bado polisi walisema hawawezi kuendelea na uchunguzi hadi dereva wake naye arejee kwa sababu ndiye...
  7. Cute Wife

    Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye mahojiano kati ya Chief Odemba na Peter Msigwa kwenye kipindi cha Medani za Siasa

    Mikutano ya Makatibu Wakuu wanakimbia ila hii ya roporopo anayoenda kuchamba chama chake cha zamani ahhhh, sababu inawachafua wengine na kuwapaisha wao. Ngoje tuona Msigwa atakuja na jipya gani leo. Pia soma: Kuelekea 2025 - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini...
  8. Cute Wife

    Pre GE2025 CCM acheni kujiaibisha, yaani kabisa mmeamua kumshambulia Chief Odemba wakati Watanzania wanajua uozo wenu!

    Wakuu salam, CCM katika mbinu zote za kujisafisha na fedheha ya kukimbia mdahalo pamoja, maovu yenu kufichuka moja baada ya jingine kutoka kwa viongozi ambao ni wanachama wenu na kuhusishwa na ukatili wa polisi unaendelea nchini mkaona kabisa mbinu ya kumchafua Odemba ndio itawasafisha na...
Back
Top Bottom