Wasaalam Wana Jukwaa wote.
Kwa aliyebarikiwa neema ya Kulea watoto kwa malezi ya kambo au kumuasili kisheria awe wake;
UTARATIBU;
Baada ya kuwasilisha maombi Halmashauri;
1. Afisa Ustawi wa Jamii atakutembelea na kufanya tathmini.
2. Taarifa itawasilishwa kwa Kamishna wa Ustawi wa Jamii...