"Moja ya mikutano ya kwanza ninayotaka kufanya ni pamoja na Rais Xi wa China, Rais Putin wa Urusi, na ninataka kusema, tupunguze nusu ya bajeti zetu ya kijeshi na nadhani tutaweza kufanya hivyo."
– Trump
Huu ndio utamu wa kwenda naye kibabe Marekani. Marekani ni superpower kwa mataifa dhaifu...
Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake.
LAKINI mimi naona...

Tayari inefahamika kuwa Russia na China wameanza maandalizi ya ujenzi wa Kambi ya kijeshi ya kudumu katika visiwa vya Cuba ambavyo vipo umbali wa mile 90 kutoka pwani ya Marekani.
Hii ni strategy ya hali ya juu sana na hatari sana kwa usalama wa marekani. Nadhani kwa sasa lazima marekani ifanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.