Ship building ni moja ya sekta muhimu sana kwa uchumi wa nchi na usalama wa taifa.
Wakati Marekani kwa wastani inazalisha meli 5 kwa mwaka China inazalisha meli 5 kwa siku!
Kwa sasa China inazalisha meli mara 340 hivi zaidi ya Marekani
Shipyards za China kwa ujumla zinazalisha zaidi ya...
Meli za Kivita za Jeshi la Wanamaji za Marekani na Russia wafanya mazoezi Pamoja; Uchina, Mataifa ya QUAD Pia Yajiunga na Komodo 2025.
Kwa upande wa matukio ambayo yanapinga mivutano na ushindani wa hivi majuzi, vikosi vya jeshi la majini la Russia, China, Marekani, India, Australia na...
Yaani leo nmegundua China hamiliki kampuni yoyote ya simu wala computer kwasababu simu zake ili zifanye kazi lazima zikaruhusiwe na watu wa Google huko Marekani. Yaani Google ndio wadhibiti wa simu za China.
Computer pia lazima aende Marekani kwa watu wa Microsoft Marekani ili waziruhusu...
Sept 11, 2024, Baraza la Wawakilishi la bunge la Marekani liliidhinisha kiasi cha $1.6 Billion.
Bajeti hiyo ni ya miaka mitano (2023-2027) kueneza propaganda dhidi ya China sehemu mbalimbali duniani ikilenga hasa kuiharibia sifa China, ikitumia media za nje ya Marekani. Mpango huu umepewa jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.