chini ya miaka 18

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Janga la "Energy Drinks" Tanzania: Umuhimu wa Sheria Kuzuia Vijana Chini ya Miaka 18 Kunywa Vinywaji vya Kuongeza Nguvu

    Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) yameongezeka kwa kasi hapa nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa vinywaji hivi vinatangazwa kama viongeza nguvu na msukumo wa mwili, tafiti zinaonyesha kuwa vinaweza kuwa na madhara makubwa kiafya...
  2. T

    LGE2024 CHADEMA yajipanga kuzuia watoto kupiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, wabaini madudu haya

    Katika maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, chama cha CHADEMA kimebaini udanganyifu katika mchakato wa uandikishaji wa wapiga kura. Mawakala wa chama hicho wamegundua kuwa kuna wanafunzi ambao wamejiandikisha ili kupiga kura, ingawa hawajafikisha umri wa miaka 18. Wanafunzi hawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…