Habari zenu
Mtoto chini ya mwaka mmoja anasumbuliwa na vipele kwenye paji la uso na maeneo ya kichwani tu ambapo tumemsaidia dawa tofauti za kupaka ikiwepo candidas mara kadhaa haikuweza kumsaidia.
Naomba kusaidiwa ushauri ama dawa sahihi ambayo itaweza kumsaidia.
Asanteni sana
Asali ni chakula kinachotumika kama dawa ya magonjwa mengi. Hutibu vidonda, kikohozi, huondoa sumu mwilini, ni chanzo bora cha nishati pia hutumika kwa kazi nyingi za urembo.
Ukipita mtandaoni utaona baadhi ya makala zikiweka marufuku ya kuwapatia watoto wachanga asali. Jambo hili linaleta...
Asali ni mojawapo ya vyakula vinayofahamika kuwa na sifa ya kubeba vimela vya masalia ya bakteria wanaoitwa Clostridium botulinum.
Bakteria hawa ni hatari kwa watoto wenye umri chini ya mwaka mmoja kwa kuwa mfumo wao wa kinga za mwili hasa kwenye utumbo huwa bado ni dhaifu. Wanaweza kukaa humo...
Maziwa ya ng’ombe ni mojawapo ya chakula kilicho na virutubisho vingi vinavyofaa kwa afya ya binadamu.
Pamoja na ubora wake huu, aina hii ya maziwa huwa haifai kwa mtoto mwenye umri chini ya mwaka mmoja.
Huwa na kiasi kidogo cha madini ya chuma ambacho hakikidhi uhitaji wa mtoto, hali hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.