Kuna tuhuma ambazo zinamkabili Sabaya, ni nyingi na za ukatili kubwa, uvujifu wa haki za watu Hai, mateso mauaji , utekaji etc etc uliokithiri.
Katika hali ya kawaida, kwa level ya tuhuma hizo, za mauaji ya wazi, utekaji etc inatoa uhalali wa kumweka kizuizini asitoroke ili haki itendeke...