chino wanaman

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Albamu ya Sumu ya Chino Wanaman kweli ni Sumu, dogo anajua

    Wazee wa mziki mzuri tafuten hii albam hamtojutia
  2. Mambo ni mazito! Marioo ahisi Chino alituma watu wamwekee sumu 'Hii chuki imekuwa kubwa sana'

    Saga la Marioo na Chino Kid linaendelea kuchukua sura mpya, huku Marioo akielezea hisia zake kuhusu uhusiano wao wa zamani. Marioo ametaka mashabiki kumuuliza Chino ni wapi alikosea, akisisitiza kuwa alimuonyesha upendo na kumuunga mkono kila wakati. Marioo anasema amekalia kimya matatizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…