chips

CHiPs is an American crime drama television series created by Rick Rosner, that originally aired on NBC from September 15, 1977, to May 1, 1983. It follows the lives of two motorcycle officers of the California Highway Patrol (CHP). The series ran for 139 episodes over six seasons, plus one reunion television film in October 1998.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Biashara ya chips

    Naombie abc za hii biashara. Profit inakuwaje? Gunia moja faida ikoje?
  2. Kwa nini kitimoto kinauzwa Bar na Hotel kubwa tu? Ni marufuku mama ntilie na wauza chips kuuza kitimoto?

    Hivi kitimoto ni kwa ajili ya walevi na wenye kipato kikubwa tu? Kwa nini hii nyama inauziwa baa na hotel kubwa tu halafu iliyoiva pia inapimwa kuanzia nusu kilo tu? Kwa nini hakuna mama ntilie wanaouza kitimoto kama mboga ya ugali na wali?? Hatuoni huu ni unyanyapaa kwa watu wasioweza kuagiza...
  3. Nina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehemu ya chips, kuku, mishkaki, Je mtaji unatosha?

    Nina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehem ya chips , kuku, mishkaki samaki juice na vinywaji sio vilevi. Naombeni ushauri kuhusu mtaji huo unatosha? Na vipi Faida na changamoto zake
  4. Kwa location ya fremu hii ya bure niuze hardware au chips

    Location ilipo fremu ambayo nimepewa niifanyie kazi na mzee wangu bure bila kuilipia imezungukwa sio mbali sana na taasisi zifuatazo stand, shule, college, dispensary,ofisi za maji na iko barabara kuu. 1.HARDWARE (Vifaa vidogo vidogo vya umeme na maji) Advantage: -Connection ya mafundi na mimi...
  5. A

    Pamoja na kushusha bei wananipita wanaenda kwingine, najiuliza nakosea wapi?

    Wakuu tangu nifungue biashara yangu ni wiki Sasa. Mazingira na miundombinu ya hapo ninapofanyia biashara yapo vizuri ila cha ajabu siuzi vile inavyotakiwa. Yaani mtu anakuja anauliza kidali Tsh ngapi unamwambia bei anakigeuza geuza wee anakitathmini halafu anasema anarudi ndo imeisha hiyo...
  6. Kuna sheria inayomtaka mhudumu wa banda la chips kuwa na cheti cha afya kutoka serikalini?

    Hello! Leo katika pita zangu mtaani kwetu makuburi nikamkuta bwana afya wa kata ya makuburi kibangu wanakoromeana na mmiliki wa banda la chips huku mmiliki wa banda hilo akimnyooshea kidole bwana afya kuwa anafanya utapeli kwa kuwa yeye(mwenye banda la chips) ana miaka zaidi ya mitano katika...
  7. Mwanamke unaposifia chips za baa eti ni tamu kuliko za nyumbani, basi ujue na vitu vingine huko baa ni vitamu vile vile.

    Ngoja niwasanue! Imekuwa kawaida kusikia wake zetu wakisifia chips za baa eti ni tamu kuliko wanazoweza kupika majumbani kwao. Basi sasa mjue sio chips tu, hata chakula cha hotelini huwa ni kitamu kuliko mnachoandaa majumbani. Hii ndiyo sababu huwa waume zenu wanarudi wameshiba. Au...
  8. A

    DOKEZO Mama Ntilie na wauza chips, wauza pweza wanaharibu miundombinu ya mwendokasi. Mabwana afya wasimamie na watoe maelekezo

    Kwanini wahusika wa miondo mbinu nyingi ya mwendokasi imewaacha mama ntilie na wauza chips wanaofanya kazi pembezoni ama karibu na miundombinu hii wamwage maji machafu na mataka taka kwenye mitaro ya hizi bara bara hali inayopelekea kujaa na muda mwingine kutoa harufu mbaya sana. Bwana afya wa...
  9. Huyu mwanaume anaesifia kula chips twitter (x) ni nani Tanzania?

    Kuna mtu kila nikiingia x namkuta anapost kusifia chips. Na hii ni baada ya wadau kumponda nadhan anatumia muda wake wote maishani kujaribu kuonesha yuko sahihi. Wanaume/Mwanaume usile chips we mwanaume ujue. Isipokua kwa wale second class men
  10. Nini kipo nyuma ya chips?

    Huwa najiuliza mara nyingi sana kwa nini chips zinasemekana kuwa na madhara. Chips ni viazi ulaya vilivyokaangwa kwenye mafuta ya kupika. Lakini ukipika viazi hivyo kwenye mboga au chakula kingine kama wali/pilau hamna mtu atakuambia vina madhara. Hayo mafuta yanayotumika kukaanga ukiyatumia...
  11. Ladha gani hawa wauza chips wanaweka?

    Habari wakuu, Nimefanya utafiti nimegundua chips yai za kupika nyumbani ladha yake tofautii na wanazouza kwenye vibanda zinakua tamu sana je wanatia viongo gani kunogesha?
  12. Natafuta kijana mtaalamu wa kukaanga chips

    Heshima mbele wakuu. Kijana mtaalam wa kutengeneza na kuandaa kuku choma na kukaanga kuku, broiler, sekela, na Aina zingine za kuku. Pia mwenye utaalamu mkubwa wa kuandaa na kutengeneza chips Kali, nzuri. Muda wa kazi kuanzia mchana hadi usiku (kama bado unajitafuta kuna geto la kizushi...
  13. Wanaume wenzangu fanyeni mazoezi acheni kula chips yai

    Niajee wakuu, Mazoezi ni muhimu sana. Shauri yenu!!! Mwanaume ata kupiga push ups 10 huwezi, kukimbia nayo huwezi, ata kutembea mdogo mdogo km ½ nayo huwezi. Achaneni na chips yai wazee pigeni tiz(mazoezi ya viungo). Hivyo vitambi waachieni wake zenu. Mazoezi kwa afya bora.
  14. B

    Nina Vifaa vya Kufanyia Biashara ya Chips. Nahitaji Connection ya Location ya Uhakika Hapo Dar

    Habari za Jioni wana Jamio Forums. Kama mnavyojua sisi ni Wana familia. Licha ya kuwa tunasaidiana sana ktk mawazo, stori na Habari mbali mbali na wiwa pia kuomba msaada niweze kupata sehemu nzuri iliyochangamka niweke jiko langu la Kuuza Chips, Kuku, Mishkaki n.k. Pia kwa kufanya hivyo...
  15. Microwave oven vs Airfryer ipi Bora kwa kuchoma nyama, kukaanga chips na kupasha chakula

    Wakuu, Ni kifaa kipi kati ya hivyo kinafaa kwa kuchoma nyama, kuchoma kuku mzima, kukaanga chips na kupasha chakula? Nahitaji kifaa kimoja cha kufanya kazi hizo zote kwa ubora mzuri, nichukue kipi?
  16. Natafuta soko la Aluminium foil za jumla (foil za kufungia chips, nyama etc)

    11
  17. U.S-CHINA Tech War: Baada ya kuvuka vikwazo vya 7nm,5nm SMIC sasa kuja na Chips za 3nm

    Hawa wachina wanafanya fanya fanya vipi kuvikwepa hivi vikwazo vya kiteknolojia upande wa semiconductor ? Hii teknolojia sio nyepesi nyepesi au kuna kanjanja wanafanya au walijiandaa ? Au ni uwekezaji tu na maarifa waliyo nayo ? Blacklisted Chinese chipmaker SMIC is working on 3nm process...
  18. Mzazi unasomesha mtoto aje kuuza chips na kuwa bodaboda. Inahuzunisha sana!

    Inahuzunisha sana kuona kazi wafanyazo watoto waliosomeshwa kwa gharama wakiwa bodaboda na wachoma chips. Mzazi kugharamia masomo ya mwanao ili aje kuwa mpambaniaji wa kazi hizo na za namna hiyo au kutokuja kuwa na future yoyote mtaani inaleta huzuni kwa mtoto mwenyewe hata kwa mzazi pia...
  19. KWELI Chips ni chakula kisicho na faida kubwa kwa afya ya binadamu pia ni chanzo cha Magonjwa

    Chips ni chakula kinachotengenezwa kutoka kwenye viazi. Chakula hiki kimekuwa kinahusishwa na matatizo mengi ya kiafya ikiwemo magonjwa ya moyo. Wataalam, tusaidieni ni kipi hasa kinachofanya chips iwe mbaya kiasi cha kuhusishwa na mambo mabaya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…