Kuna Mzungu alikuja Tanzania kwa shughuli za kikazi. Katika mihangaiko yake alisikia njaa na muda wa lunch uliwadia. Alifikiria pa kupata chakula, aliamua kutafuta sehemu inayouza chakula apate rizki.
Alikuta kijiwe cha chips na wasela kibao wanapata msomi. Alikaribia ile sehemu, kulikua na...