chipsi vuruga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    Anayejua kupika chipsi vuruga anielekeze

    Mko poa familia, Jamani nina hamu na chipsi vuruga leo hatari, ila sijui kuziandaa. Sitaki kwenda kununua naombeni kuelekezwa ili niandae mwenyewe. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu. Picha kutoka maktaba
Back
Top Bottom