Simba na Yanga walishwahi kumtaka Abdul Suleiman Sopu lakini bwana mdogo alikataa ofa za mapacha na kukimbilia chamazi (azam ) siyo kwamba labda bwana mdogo alikua hataki exposure za mapacha hapana ila alijua timu za kariakoo hazina muda wa kumvumilia mtu zinataka ukivaa jezi tu basi ukafunge...
Usiombe uingie kwenye 18 za hawa upcoming wa 2000 ni balaa, wanapiga shoo kali sana, unachotakiwa mpatie vibes anazotaka, mfano pombe na msosi.
Hivi vitoto vya 2000 vinajua mpaka vinakera shoo mwanzo mwisho.
Ni hayo tu
Wadiz
Mwanaharakati na Mtetezi wa Haki za Watoto Kumbusho Dawson amewasilisha Ombi la Kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar, kesi hiyo ya namba 2212 ya mwaka 2024 itatajwa kwa mara ya kwanza tarehe 13.02.2024 majira ya saa tatu asubuhi mbele ya Jaji Angelo Rumisha.
Mwanaharakati huyo na...
Salaam, Shalom!!!
I declare interest, Rabbon ni mdau wa watoto, nimekuwa katika kitengo hicho Kwa miaka mingi sasa katika Imani.
Viongozi wapo wa Kuzaliwa Toka tumboni, na wapo wa kufundishwa. Likewise wanasiasa wa Kuzaliwa wasizuiwe.
Katika umri wa kuanzia miaka 4 Hadi mitano, tayari unaweza...
Nashauri vyama vya upinzani kuamka na kuanza kuandaa nguvu ya kupambana na ccm.
Huku mitaani nimeona viongozi wanaotokana na ccm wanaandaa vikundi vya ulinzi na usalama kama maandalizi ya uchaguzi ujao. CCM Imeandaa Green guards na chipukizi.
CUF kulikuwa na Blue Guard, nawashauri muifufue na...
Mtengnezee Mwanao kesho yenye furaha, mafanikio, malengo n.k.
Asitarajie kuishi kwa kuamini Serikali yake itamfanyia Jambo zuri kwa ajiri yake, Mfanye awe wa kujiamini awe wa kujitegemea, ajue furaha yake mtengenezaji ni yeye, ajuae kuna disappointments nyingi sana huletwa na uliowategemea...
Afla za uchaguzi wa tisa wa Chipukizi Taifa zilizofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma, zimeibua maswali mengi baada ya watoto walioshinda vinyanganyiro hivyo kuwa watoto wa viongozi tu kwa asilimia kubwa, ikilinganishwa na idadi ya watoto walioko Tanzania.
Katika vinyanganyiro...
Mnaacha Kuwahimiza Watoto wenu wajikite na Masomo ( Taaluma ) ili waje kuwa Msaada kwa Taifa nyie mko busy Kuwapigania waanze kuwa Viongozi huko CCM Chipukizi kama mlivyo nyie Wazazi wao Serikalini.
Na kuna Mtoto Mmoja nae nimemwona ameshaanza kuwa Tapeli na Muongo Muongo kama alivyo Baba yake...
Kwa siku kadhaa nimeshangazwa na wafuasi wa chama cha Mbowe kushambulia idara ya chipukizi iliyo chini ya UVCCM kana kwamba ni jambo la ajabu sana kuwahi kufanyika. Wanaoshangazwa na uwepo wa chipukizi wanatakiwa kujikumbusha kuwa chipukizi CCM haijaanza leo. Ni idara ambayo ipo kwa miaka mingi...
24 November 2023
Vancouver, Canada
Mshambuliaji hatari wa Azam FC, Cyprian Kachwele umri miaka 18 amesainiwa katika klabu ya Vancouver Whitecaps FC
Taarifa ya klabu hiyo ya Canada inayoshiriki katika ligi ya Major League Soccer ya Marekani ya Kaskazini kupitia kocha mkuu Ricardo Clark...
Na Kevin Lameck
Miongoni mwa yasiyopimika kwenye mizani ya namna yeyote ile ni athari kubwa ya SAMIA SULUHU HASSAN kwa wasichana wadogo na mabinti.
Dkt. Samia Suluhu si tu ni Rais wa Tanzania lakini pia ni Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa serikali na Mwenyekiti wa Chama Tawala - CCM.
Katikati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.