Wakuu,
Jana Chivayo alikuwa mjini, na kwenda kusalimia Ikulu kulingana na picha pamoja na melezo aliyoweka.
Safari hii amepewa na maelezo ya kuandika kwenye caption. Unadhani ni mazungumzo gani yameendelea Ikulu ukizingatia tume ya Chande imemaliza kazi yake?
====
Tafsiri ya caption yake...
Salam Wakuu,
Huyu jamaa ana mpaka rekodi ya kufungwa kutokana na utapeli! Huwa anapewa tenda ya vifaa vya uchaguzi na huko ndio anapata na mwanya wa kutoa michoro ya kuharibu uchaguzi kwa kuhonga watumishi na viongozi kuhakikisha kura zinaibwa bila kuleta kelele na shida yoyote.
Jamaa...