( 1-5 )
CHOMBEZO ❤️🔞
NITAKUPA LAKINI NIMEOLEWA
SEHEMU YA 01
Anza nayo.......
“Mke wangu ananipenda sana,” Tasriki alisema hivyo.
“Kitu pekee
ambacho unatakiwa
ukiamini ni kuwa wewe unampenda mkeo, unaujua ukweli wa moyo wako tu na sio wa mtu mwingine,” Jose alimjibu.
“Ananijali...