1. Kadi ya Usajili wa Chombo cha Moto.
2.Mkataba wa Kisheria wa Mauziano na Risiti ya EFD kutoka kwa
Mwanasheria aliyesaini mkataba huo au risiti ya manunuzi uliyopewa
wakati wa manunuzi wa chombo hicho toka kwa muuzaji.
3.Kiapo cha Umiliki.
4.Taarifa za Muuzaji (Picha ndogo moja na nakala ya...