Dkt. Slaa anasema Viongozi mkishindwa kuelewana wewe ambaye unaona Wenzako hawako sahihi ndio unaondoka tena kwa amani bila kuwachafua wanaobaki na hii ndio kanuni ya Siasa duniani kote
Dkt. Slaa anasema yeye alipoondoka Chadema aliwaeleza wazi Kabisa kwamba anaondoka kwa sababu Chama...