Unaishi kwenye nyumba choo kiko nje, usiku wa mvua kubwa ukitaka kwenda kujisaidia ni lazima maji ya mvua yaguse ngozi. Vyoo vingine havina mapaa, ukiwa unajisaidia mvua haikwepeki.
Asubuhi unakwenda kuoga na taulo, wanaopita njia wanajua ndiyo unaoga, na taulo lako kila mtu analijua rangi...