Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Kagera limefanikiwa kumuokoa mtoto mchanga aliyekuwa ametupwa chooni jana tarehe 01 Desemba, 2021 huko wilayani Karagwe kata ya Bugene katika Mtaa wa Lukajage.
Mtoto huyo wa Kiume anayesadikiwa kuwa na umri wa Siku Mbili alitupwa katika choo hicho na mtu...