Wakuu
Kama muonavyo kwenye picha, hawa ni baadhi ya Kuku ambao nauza.
Kuku wapo Dar es Salaam, Mbweni JKT kwa mawasiliano 0612630936 … bei n elfu kumi kamili ndo wana miezi mitatu na siku 24.
Nilikua nataka kufaham km mil 1.5 inaweza ikatosha km mtaji wa kuanza kufuga broiler na chotara mana mi ndo kwnz nataka nianze hii biashara.
Na je na kama haitoshi ni kiasi gani kinahitajika kiongezeke ili niweze kuanza kufuga
JF salaam 🙏
Bila shaka Kwa wafugaji wa kuku aina hizo mbili mtakubaliana na Mimi kuwa Tangu mwaka Jana katikati kumekuwa na uhaba sana wa vifaranga vya sasso na kroiler
Sijajua changamoto ni Nini hasa. Mwaka Jana nilidhani huenda umeme ulichangia kuwa na uzalishaji hafifu au usio kidhi...
Kwa mahitaji ya kuku wa kufuga na kula,kienyeji na chotara nitafute,ukihitaji vifaranga na mayai ya kutotolesha tafadhali usisite kunitafuta,karibuni sana wakuu.
1. Baada ya kuanguliwa , Chanjo ya Marek's na Dawa HVT, Namna: sindano
2. Siku ya 2 hadi 6 KINGA ya Pullorum, Dawa: Trimazine 30% plus Vitamin, Namna: Maji
3. Siku ya 7, Chanjo ya Mdondo/Kideri (Newcastle), Dawa: Newcastle vaccine [LASOTA] Namna: Maji
4. Siku ya 14, Chanjo ya Gumboro, Dawa...
Kilimo ni uti wa mgongo wa maisha na pia ni sehemu muhimu sana hasa katika jamii yetu ya kisasa, ambapo kinaathiri chakula tunachokula, ardhi tunayoishi, na mambo mengine mengi ya jamii yetu. Mamilioni ya watu wanaweza kujikwamua na umaskini duniani endapo watawekeza kwenye sekta ya kilimo...
Habarini,
Kisayansi inasemwa kuwa kadri kiumbe kinavyokuwa na mchanganyiko mwingi wa vinasaba ndani yake, ndivyo ubora wake na chance yake ya kusurvive inavyokuwa kubwa.
Ndiyo sababu kubwa ya kukataza ndugu kuoana, ni ili ule mchanganyiko upatikane. Zamani familia za kifalme walikuwa wanoana...
Lengo langu ni kuanza na kuku 1000 lakini bado sijapata taarifa kamili za mradi wenyewe ninaotaka kuuanza mabanda ninayo kuna Mtaalam aliyakagua akayapitisha kuwa yanafaa.
Taarifa ninazoomba mnisaidie kushea ni tofauti ya ulaji wa broiler na Chotara, mtaji kiasi gani Kwa broiler au Chotara na...
Wakuu hivi kwa mazingira ya kijijini ambapo kipato cha wengi ni cha chini, kuku wa chotara wataweza kuboresha maisha ya mwanakijiji?
Na kama sio hao, je ni kuku wa aina gani ni chaguo bora zaidi?
Habari wana jamii,
Naomba mnishauri, mimi ni mfanyakazi serikalini. Muda mrefu nafikiria biashara ya kufanya lakini nashindwa. Sasa hivi nimeamua kuanza kufuga kuku chotara. Nataka kununua kuku chotara vifaranga mia moja. Nivitunze na kuvilisha vzr, lengo nataka muda ukifika 40 niviuze halafu 60...
Baada ya mvua za msimu huu kuwa za kusita na kupoteza mbegu kwa kupanda zaidi ya Mara mbili na kuungua na jua, huku nyanya nazo zikiwa zinachechemea, nimeamua kuanza ufugaji wa kuku chotara Aina ya sasso wakati tunaendelea kusubiri neema ya mvua Kama itatuwezesha kuvuna.
Mpango ni kufikisha...
Kheri ya mwaka mpya kwa wafugaji wote.
Kumekuwa na changamoto nyingi wanazopitia wafugaji hususani kipindi cha kuanza ufugaji wao wa mara ya Kwanza. Changamoto hizi huchangiwa na kutokuwa na elimu sahihi ya ufugaji au taarifa sahihi kuhusu ufugaji.
Haya yote husababisha mfugaji huyu kupoteza...
Wana JF
Japokuwa Kiroboto anapigana kivyake kwa kutokubaliana na mambo fulani fulani yanayoendelea ndani na nje ya serikali mbali na maudhui yake ya kununua machawa toka upinzani, angalau bado ana kauzalendo kalikokuwa kamemezwa na mapapa ya CCM Asilia ambao kazi kubwa ni kuhakikisha...
Wana JF
Baada ya Mama Yetu Rais na Chief kutema nyongo kwa makundi yanayoendelea kuandaa kuvuruga mipango yake ya sasa ya kuboresha nchi na kuondoa makondokonda makubwa pamoja na vidonda vilivyoachwa na serikali tangulizi, nupende tu kusema basi kifo rasmi cha Ccm asilia wanaojinasibu kama...
Kuroiler ni kuku Chotara ambae hupatikana kwa kupandishia kuku wa jamii mbili tafauti ili kupata matokeo mazuri zaidi ukilinganisha na kuku wa kawaida.
Matokeo hayo ni pamoja na kutaga mayai mengi au/na pia kuwa na miili mikubwa kwaajili ya nyama.
Hivyo kumfanya mfugaji wa kibishara kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.