Katika tamasha la kipekee la DSTV Delicious Festival, wasanii nyota Diamond Platnumz, Chley, na Khalil walipiga show ya kali, wakitumbuiza pamoja na Jason Derulo. Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Derulo kupanda jukwaani na kuimba kolabo yao mpya, "Komasava" remix na mashabiki kuonesha vibe kubwa.
afrika
afrika kusini
chley
chrisbrownkuchezakomasava
diamond
dstv delicious festival
jason darulo wa kenya
jason derulo
jukwaa
khalil
komasava
kusini
moto
Ndugu zangu mafanikio hayakufuati ukiwa umeketi nyumbani kwako, lahasha, ni lazima uyafuate tena kwa juhudi ya hali ya juu.
Star wa bongo fleva Diamond Platnumz ni miongoni mwa vijana wapambanaji, miezi kadhaa nyuma kijana huyu mpambnaji alifunga safari kwenda nchini Marekani, huku lengo kuu...
Story kubwa duniani leo ni Msanii namba moja duniani na msanii namba moja Africa. Chris Brown na Diamond Platinumz.
Chris Brown ameonesha kupagawa na wimbo namba moja kwa sasa Africa uitwao Komasava ulioimbwa na Diamond Platinumz kutoka tandale.
Chris Brown amecheza wimbo huo huku akionesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.