Snoop Dogg, ambaye jina lake halisi ni Calvin Broadus Jr., alisababisha mshtuko mkubwa Hollywood baada ya kutangaza kuwa amekuwa Mkristo mpya aliyezaliwa upya. Hivi karibuni alitoa albamu yake ya kwanza ya injili inayoitwa "Biblia ya Upendo".
Albamu hiyo ina wasanii wengine wa injili...
A photographer @fsbragaphotos has captured a breathtaking image of a lightning bolt which has hit the Christ the Redeemer statue on February 10th, 2023.
The bolt of flash struck the head of the statue. The statue, situated in Brazil’s Rio De Janeiro, is visited by nearly two million people...
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram mshambuliaji matata christiano Ronaldo alimaarufu CR-7 kwa kushirikiana na Kampuni ya rafiki yake wa zaidi ya miaka 20, Jacob & Co amezindua saa mpya za kifahari zilizotengenezwa kwa ushirikiano, sahihi na Alama spesheli za Ronaldo.
Bei ya...
We are witnessing the collapse of the planetary civilization and Jesus Christ is taking over,while those responsible:the NWO Elite,are not even aware.Infact they believe they are in control!The truth however is that they are destroying what they have built for years.
The whole of the human race...
Sina tabia ya kusalimia naona ni suala la kupoteza muda tu wakubwa
Kuna mzungu flani nimemsikia akisema hayo maneno hapo juu ilinibidi nisogee karibu nimsikilize
Alikuwa mzee kwahiyo alivyoona nasogea kwa kuzuga aliacha kuongea
Je ili suala ni kweli ?
Persecution of the Church of Jesus Christ has started with Canada.Right now as we speak,burning down of churches by anarchists across Canada with impunity is going on.
In total as we speak,45 churches are engulfed in fire or have been attacked in ongoing anti-Christian terror campaign.
It’s...
Kesi ya Mgogoro wa Ardhi baina ya Kanisa la Christ Synagogue Ministries lililopo Sakina jijini Arusha na wasimamizi wa mirathi Bernadette Changuru na Samweli Changuru imeahirishwa hadi Agosti 11 mwaka huu.
Shauri hilo namba 57/2021 linasikikizwa na Baraza la Ardhi na Nyumba la wilaya ya...
Ni mijusi wanaopatikana kwa wingi Marekani ya Kati na Kusini, ni mijusi aina ya Basiliscus basiliscus, wanatoka katika familia ya Corytophanidae
Mjusi huyu anaweza kutembea/kukimbia juu ya maji hadi mita 20 kwa kutumia miguu yake ya nyuma huku mwili wake ukibaki jua anapokuwa anawakimbia adui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.