Hongera sana mh. RC wa Arusha, Paul Christian Makonda.
Binafsi nakukubali sana hasa kwa mambo makuu 5 ambayo ni:-
I. Ubunifu
II. Usimamizi
III. Ufuatiliaji
IV. Ujasiri
V. Kutokukubali kushindwa.
Hongera sana kwa kufuata nyayo za Mwamba wa Afrika, JPM. Tulimpenda sana yule Mwamba. Mungu...
Naishi Dsm Tanzania
Umri wangu ni 35s
Mwajiriwa sekta binafsi
Mkristo, pentecoste
Looking for a matured born again christian man who is real tired of being single and he is ready for commited relationship then a holy christian marriage.
Must be above 35s but not above 45.
Independent...
Habari nahitaji Mume mwenye umri 40 Hadi 49 Kwa ajili ya ndoa halali ya kanisani
Mchapkazi na anayejua Majukumu yake sio wakulelewa
Mkristo hasa mpetekoste
NB alietayari ku asili mtoto
Awe mkoa WA manyara kilimanjaro ,Tanga au Dar
Kuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating.
Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu.
Lina fukuza watu wasio wa kundi lao katika jamii zao ila jamii zao ziikishia kupata kash kash ziletazwo na watu wa kundi lao...
07/07/2023
Christian Front in Lebanon rejects Iranian encroachment and calls for UN intervention
BEIRUT — The Christian Front in Lebanon released a statement following a recent meeting addressing various issues and developments in the...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiangalia picha hii ya Leo ya Mheshimiwa Omar Mchengerwa Waziri wa TAMISEMI akiwa pamoja na Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara namna walivyo tabasamu na kujawa na furaha katika nyuso zao inafika wakati unasema kuwa Mungu ni...
Habari wana JF,
Nimejitokeza kuweka wazi hitaji langu.
Im in my mid 30's, with one kid. Never been in marriage before. Ewe Mkristo mwenye miaka 34 na kuendelea,Mkweli namwenye uhitaji kama.wangu karibu sana inbox.
Kuweka kumbukumbu sawa akiwa miongoni mwa wabunge kwenyr bunge la katiba awamu ya Jk ,Makonda alipongeza uwezo wa Samia Suluhu Sahan kusimamia bunge la katiba kama naibu spika.lakin pia aliona maona na kuyasema nanukui ikipenda uko mbeleni huyu mama aje awe makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano...
Makonda ni very ambitious, ni ngumu sana kutosheka na cheo cha RC, ili kuwa na vyeo venye power kubwa zaidi kama Uwaziri njia ya uhakika ni kuwa mbunge.
2020 alikurupuka ila round hii itakuwa kajipanga vilivyo
swali, je atatumia jimbo gani?
arusha
asubuhi
christian
dar
dar es salaam
jimbo
kishindo
kugombea
kugombea ubunge
makonda
mapema
mkoa
mkoa wa arusha
mwanza
paul makonda
sana
ubunge
ukuu wa mkoa
Wazungu wanasema the Bone that Failed the Heyna, who can?
Kazi ya Uenezi ndani ya ccm aliyeiweza kwa ufasaha alikuwa Abdulrahman Kinana miaka ya 2010.
Tangu hapo Chama cha Mapinzudi hakijawahi kupata mtu sahihi, hata walipojaribu kuteua watu wenye dosali ktk jamii bado napo imekuwa ngumu...
Wakuu JF wazima nimatumaini yangu,
Nianze kwa kusema hivi, Hakuna asiyemfahamu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kipindi cha Awamu ya Tano kabla ya uchaguzi wa 2020
Kwa Huruka yake unyanyasaji na ukatili kwa wapinzani na hadi kufikia kuvamia vituo vya Habari wote ni Mashaidi.
Akastaafu...
Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Songwe wanatarajia kumpokea Katibu Mwenezi Taifa ndugu Makonda kuanzia hapo kesho tarehe 06/03-2024. Ukiwa kama mkazi wa Mkoa huu wenye fursa nyingi,unakaribishwa kuhudhuria mikutano ya mwenezi wetu taifa.
Karibuni sana,Kidumu chama cha...
kabla ya uvamizi nchi ya Syria kama zilivyokuwa nchi nyingi za kiislamu leo hii kama vile Iraki, Uturuki na nyinginezo zilikuwa Christian majority societies, kila kitu kilibadilika baada ya Uislamu kuingia, Syria na mji wake wa Damascus hata umetajwa kwenye Biblia.
leo hii Damascus...
Amidst the hustle and bustle of modern life, it's easy to become desensitized to the suffering around us. We rush past those in need, our minds preoccupied with our own concerns. But what if we paused, truly saw the people around us, and felt the weight of their struggles? What if we chose to...
Kuna anayejua sababu kwa nini hakuna nchi ambayo ilikuwa na dola ya kikristu kwa maana ilifwata ukristu ambayo ni masikini?
Kuna nchi nyingi zilizofwata Hinduims lkn masikini, zilizofwata Budhism zipo masikini na zilizofwata Uislamu pia nyingi zipo masikini na hata kwetu afrika ambako hatukuwa...
Katika kipindi ambacho wapiga Dili wapo kileleni mwa zamu Yao baada ya kubanwa takribani miaka SITA ya mwenda zake,kelele na vilio vinasikika Kila Kona nchini kwa ubadhirifu na upigaji unaoendelea!
Ilihitajika nguvu mpya chanya Ili kuenzi zama za awamu ya Tano kurudisha chama kwenye msitari...
Wimbo wenyewe ni ule usemao....Amerudi analia eeeeeehhh....Huruma....eeeeehh....Huruma......
Kuna nini labda Kimejitokeza Tanzania kwa leo ili nami nijue / nikijue?
Kudadadeki.......Kimya leo Mitaani.
Responding to the attack and arson of at least five Churches and many Christian homes in Jaranwala in Pakistan, Rehab Mahamoor, interim regional researcher for South Asia at Amnesty International said:
“The Pakistani authorities must urgently ensure the protection of the minority Christian...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.