Mtangazaji wa ITV Hosea Mchopa amemnasa Christina Mwagala Afisa Habari wa Tabora United ambaye ametamba kufanya usajili wa kutikisa kwa kutumia Shilingi milioni 500 kusajili wachezaji takriban wanne wakiwemo Wacameroon wawili Cedrick Zemba na Kipa Jean Noel Amonome.
Mwagala amesema lengo lao ni...