christina shusho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Christina Shusho vs Rose Shaboka

    Wote ni mapastor lkn nani anakukosha Zaidi?
  2. T

    Maneno ya Christina Shusho kwenye send off ya binti yake

    Pongezi ziende Kwa wazazi wote pastor John shusho na bi Christina shusho hakika mkishakuwa wazazi lazima mkutane kwenye matukio kama haya haijalishi mmetengana.
  3. T

    Maneno ya Christina shusho kwenye send off ya Binti yake

    Pongezi ziende Kwa wazazi wote pastor John shusho na Christina niwatakie maandalizi mem
  4. A

    Wanawake washauriwa na mchungaji Christina shusho kuzaa watoto wachache na kupanga uzazi binafsi bila kumshirikisha mwanaume

    Ameshauri wawe wajanja kuzaa kuijaza dunia Mungu hakumaanisha Kuwa na watoto wengi Bali kufanya vitu vingi..pia amedai alikataa Dola za kimarekani elfu 20 kutoka Kwa kigogo alietaka kulala nae..hivi ndo anatangaza dau lake kijanja au anajisafisha mbele ya jamii Ione Kuwa Huwa hadangi
  5. N

    Christina Shusho ashauri umri wa mtu mzima usianzia miaka 18

    Nimekutana na hii Mahali mke wa mchungaji shusho anataka kupindisha sheria ya mtu mzima isiwe kwanzia miaka 18. Adai aliolewa akiwa mtoto na mume hana mchango kwenye mafanikio yake. Jamani na kama maamuzi kwanini asiyafanye wkt ule Yuko Binti maana Kwa sasa sijui anautoto upi
  6. T

    Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba

    Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba
  7. T

    Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba

    Mpenzi nilienae Kila siku ana matatizo jamani Kila siku yeye hasara yeye , kikosa ajira yeye ...Kila siku ananipa hbr mbaya nahisi ana mikosi
  8. T

    Paschal Casian: Nampa Christina Shusho miaka mitano tu atakuwa amezeeka

    Paschal Casian: Nampa Christina shusho miaka mitano tu atakuwa amezeeka.
  9. T

    Mtoto wa mchungaji Christina Shusho, Odesia Shusho avishwa Pete ya uchumba

    Mtoto wa mchungaji Christina shusho 'Odesia Shusho' avishwa Pete ya uchumba.
  10. T

    Binti mkubwa wa mchungaji shusho"odesia shusho avishwa pete ya uchumba

  11. Mpuuzieni Christina Shusho, anatumika na shetani kuiaminisha jamii kuwa zinaa ni bora kuliko ndoa

    Christina Shusho aliibuka mbele ya jamii na kusema kuwa ''aliamua kuachana na mume wake na kuamua kumtumikia mungu'' na hiyo ilikuja baada ya kuona mashabiki wake wakimuuliza sana na kumsihii aolewe ndipo alipoamua kujificha kwenye kimvuli cha kumtumikia mungu lakini nyuma ya pazia ni uongo...
  12. Sakata la Christina Shusho limenifunza mambo makuu 4

    NILICHOJIFUNZA KWA CHRITINA Nimejifunza mambo haya kwenye hili 1. MAAMUZI SAHIHI AMEYAFANYA WAKATI USIO SAHIHI yapo maamuzi yanaweza kuwa sahihi ila yakafanyika wakati usio smawil Maamuzi sahihi yakifanyika wakati usio sahihi huwa yanaonekana si sahihi kwasababu yako nje ya wakati uliopaswa...
  13. Christina Shusho, colabo na Diamond hapo umeliwa!

    Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto! Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama. Christina Shusho hatakuwa wa kwanza kuingia mtego huo. Kila la heri mwimbaji wa nyimbo za Injili, ambaye sasa...
  14. R

    Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

    Salaam,Shalom!! Akizungumza Leo ibadani, Mchungaji Mbarikiwa amepigia mstari kuwa, kilichomsukuma Christina Shusho kumwacha mumewe Kwa kisingizio Cha huduma, ni umalaya tu na hakuna kingine. Itakumbukwa, Msanii huyo, hivi karibuni ameendelea kutetea uamuzi wake huo Kwa kuhusishwa kifo Cha...
  15. Huenda Christina Shusho amechanganyikiwa au amelogwa?

    Jamii ya wapenda muziki wa gospel afrika mashariki imeshtushwa na kusikitika sana baada ya kusikia matamshi ya mwimbaji maarufu zaidi wa muziki wa gospel hapa Tanzania kuwa; 1. Mungu alimpa wito maalum ambao unamtaka aachane kwanza na mumewe ili aende kuutumikia wito huo. 2. Aliamua kuachana...
  16. Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ" "Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa...
  17. Jina la pili la mwimbaji wa Injili Christina Shusho ni jina la nani yake?

    Tangu nianze kusikiliza nyimbo zake huyo mwimbaji namfahamu kwa jina la Christina Shusho. Hivi Shusho ni jina la baba yake na Christina au ni jina la ubini kwa familia ya aliyekuwa mumewe wake ? Naomba kufahamishwa.
  18. Christina Shusho: Mimi na Diamond Platinumz ni marafiki sana

    Amefunguka da Christina... "Tunaongea sana pamoja, yeye akiwa na shida ananipigia namshauri kama dada yake na mimi nikiwa na shida namtafuta. Tunazungumza mengi mengine ni ya siri na tumekuwa karibu kwa sababu wote tunatoka Kigoma" "Kiukweli hakuna mtu anayeweza kunilipa nikaimbe kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…