christopher mtikila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Komeo Lachuma

    Mchungaji Mtikila alisema Kikwete ni Gaidi na akashinda ile kesi

    Hii wadau ilikaaje? Mch. Christopher Mtikila. Msomi wa juu wa Sheria, mtu mwenye akili na ujasiri. Alisema wazi bila kuuma uma maneno. Kuwa aliyekuwa Rais wa Tanzania kipindi hicho ndugu kikwete ni gaidi. Sielewi ile kesi alishindaje shindaje. Je ilithibitishwa kweli ikafunikwa au ilikuaje? Ni...
  2. Poppy Hatonn

    Mtu aliyebatizwa anaweza vipi kufanya uovu?

    Siku moja nilikuwa napita Kariakoo sokoni. Pale alikuwepo muuza magazeti kapanga magazeti pale, wengine wananunua, wengine wanasimama tu pale kutazama. Ilikuwepo headline pale kwenye gazeti moja Imeandikwa, "MTIKILA ASEMA BABA WA TAIFA ANASTAHILI KUUAWA" Siku zile watu walikuwa patient na...
  3. ESCORT 1

    Baadhi ya Viongozi waliokufa vifo tata

    1. Dr. Omary Ali Juma Huyu alikuwa ni Makamu wa Rais katika Serikali ya Rais Benjamin Mkapa. Alienda kufungua maonyeshi ya sabasaba akiwa na Rais Kabila wa Kongo, kesho yake tukapata tanzia. 2. Benjamin Mkapa Rais wa awamu ya tatu, jioni moja ya mwezi july mwaka 2020 ikiwa imebaki miezi...
  4. J

    Video: Mtikila alisema pombe lazima imwagwe na makufuli ya kufunga watu yakatwe!

    Msikilizeni mpaka mwisho.
  5. D

    Kweli Marehemu Christopher Mtikila alisema kweli kuhusu 'unyani'

    Marehemu christopher Mtikila alikuwa akilia sana na kuwafananisha viongozi wa Tanganyika wakati ule na viongozi wa Afrika na nyani ambao tunawaona mstuni. Marehemu Mungu ampe pepo ya milele. Mchungaji alienda mbali sana na kusema viongozi wa Afrika wako tayari kuuza ndugu zake, familya yake...
  6. A

    Rev. Mtikila ashida kesi ya kuruhusu mgombea binafsi Mahakama ya Afrika

    Arusha. Mwanasiasa mkongwe nchini Christopher Mtikila ameshinda kesi aliyofungua Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika (AfCHPR) mjini Arusha akidai Tanzania inakiuka demokrasia inapozuia wagombea binafsi. Katika hukumu iliyosomwa leo jioni, mahakama imesisitiza kuwa kwa kulazimisha viongozi...
  7. KING COBRA

    Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

    Mtikila amesambaza Waraka unaomtuhumu Kagame Kusambaza Wanyaranda 35,000 katika Tz na ameitaka serikali kuchukua hatua!!! Ni jambo la Kushangaza Gvt inatumia Nguvu nyingi kulinda mpaka wa Malawi na Tanzania lakini Wamemwacha Kagame na Mseveni wakipenyeza Wanyarwanda 35,000 na wamehesabiwa...
Back
Top Bottom