Natumai mu buheri wa afya tele,
Bila kupoteza wakati, naombeni tiba ya kutatua tatizo hili.
Nina tatzo la kumchukia mtu yeyote nnayekutana nae barabarani anaefanana na adui yangu ama mtu nisiyempenda naye ntaanza kumchukia hapo hapo.
Yaani haijalishi kama hajawahi nikwaza ntamchukia hivyo...
Nina Marafiki kadhaa huko Arusha na GENTAMYCINE huwa sipendi kuwahi Kumhukumu Mtu bila ya Kwanza kufanya Uchunguzi wangu wa Kinjagu (Kimosadi) ili Kujiridhisha. Nilichogundua ni kwamba Mbunge Mrisho Gambo amefanya mazuri kadhaa na yanaonekana ila mengi ambayo ameshindwa Kuyatekeleza ni kwasababu...
Kwa sababu nawaonyesha upendo. I take care of them etc, wa Swahili wamekuwa wakinionyesha chuki ya ajabu sana. Plus kuwachukia wanangu pia. Kuna muda niliwahi kuiacha nyumba niliyo Jenga ( uswahilini nje ya jiji) nikarudi kupanga town ili nikae mbali na wa Swahili.
Kwa sababu ambacho kilikuwa...
Shirikisho la soka Afrika (CAF) linapanga kufanya marekebisho makubwa ya mashindano yake hasa Ligi ya Mabingwa Afrika na kombe la Shirikisho la CAF.
Shirikisho la soka barani humo limekuwa likichunguza njia za kuweka upya kandanda ya Afrika, hasa kwa Ligi ya Soka ya Afrika, ambayo imefanyika...
Museveni rais wa Uganda alikuwa mtoto wa kuasiliwa(adopted) katika familia ya Byanyima wakiishi pamoja na Winnie Byanyima mke wa kiongozi wa upinzani Kizza Besigye aliyetiwa kizuizini na serikali ya Museveni kwa sasa. Amesomeshwa na kukuzwa na hiyo familia mpaka alipoweza kujitegemea.
Maisha...
Serikali imejikita kuhakikisha inapunguza bei ya mitungi ya gesi ya kupikia na kutoa ruzuku ya asilimia 20 ya mitungi hiyo Ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa mwaka 2024-2034.
Naibu Waziri wa Nishati Judith Salvio Kapinga amesema hayo...
Katika historia ya dunia, kumekuwa na matukio ambapo makundi ya watu wachache yamefanikiwa kwa kiwango kikubwa kijamii, kisiasa, kielimu, kiuchumi, n.k. Hali hii mara nyingi imepelekea chuki kutoka kwenye kundi kubwa na hatimaye mauaji ya kimbari (genocide), kuwafukuza, n.k. Aidha, wachache hawa...
Wewe ambaye umeajiriwa au unajitolea au unafanya kazi yoyote na unajitafutia na wewe riziki
Naomba ushauri hivi unafanyaje kushinda uonevu au chuki eneo la kazi?
Pindi Fulani mtu anakuchukia au kukuonea hata hujui ulimkosea nini
Maendeleo makubwa kwa kundi dogo huwaacha wengine na wivu na hasira
Quran na Biblia zimeweka wazi upendeleo wa Mungu kwa kuwabarikia wayahudi akili zaidi japo kwa upendeleo huu walikuwa na jukumu zito kuzidi wengine kwenye kutii amri za aliewabarikia hizo akili, adhabu zilikuwa kali mno...
Ilitarajiwa Lemma akabidhi ofisi ndio aondoke kwenda Canada kwenye ukimbizi wake. Haijulikani atakaa huko kwa miaka mingapi.
Lakini hajakabidhi ofisi kwa Mwenyekiti mpya wa Kanda ya Kaskazini. Kaondoka na fedha kiasi gani za Kanda hiyo? au kaondoka na nyaraka kiasi gani za fedha na mambo...
Friends, ladies and gentlemen.
Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu?
Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano miongoni mwa vyama vya siasa eti ndiyo huleta nguvu na ndiyo kipaumbele chao kwa sasa.
Kitendo cha...
Yes!
No one saw it coming ..wafia dini wanasema eti ni bongo flavor. Hawasikilizi message.
Hii hapa...
Kaka Joel mimi binafsi nlikua sikujui, ila kuna siku nlikuta wimboo huu unapigwa mahali nikauliza huyu nani?
And the rest is this thread. Keep it Up
Tunaposheherekea miaka 63 ya Uhuru ni vyema kama Taifa kutafakari katika maeneo kadhaa ambayo ni muhimu.
1-Tanganyika ilipata uhuru bila kumwaga damu yaani vita.
2-Kupitia Waasisi wetu hususani Mwalimu Nyerere tuliona njia bora ni kudai Uhuru wetu kwa njia ya kidiplomasia.
3-Hata baada ya kupata...
Baada ya chuki kubwa inayoenezwa na wasanii wa Kenya kwa wasanii kutoka Tanzania. Diamond ametia neno lake.
Kikubwa cha kuchukua hapa mtu akikuzidi, solution sio kumchukia ni kufata njia za mafanikio ili na wewe utoboe.
Diamond is so genius
Hizi comments hapa chini zimenitisha sana na zinaatoa picha halisi ya jinsi utawala wa CCM unavyochukiwa nchi hii. Sijui huo ushindi wa 99% kwenye chaguzi unatoka wapi!
Chuki ya wananchi kwa serikali na watawala ni jambo la hatari sana. Chuki hii ya watu wengi hutengeneza kitu katika ulimwengu...
Nikiri sina miaka mingi sana humu jukwaani ila nilichogundua ni kukithiri kwa mada zinazochochea chuki za kidin kwa kukejeli imani zingine kwa namna moja au nyingine binafsi ni muumin mzuri wa dini yangu japo nina cycle ya watu wengi ambao si wa imani yangu naishi nao vzr na tuna bond nzuri sana...
Ukinichukia nakuchukia titi 4 tati,ukinipenda nakupenda titi 4 tati...
Kuchukua ubingwa mara tatu mfululizo,nakuingia fainali shirikisho kumejenga chuki dhidi ya viongozi wa simba juu ya yanga,mwanzoni aimba ilijitapa kuwa hao ndio wanaiwakilisha tanzania vinzuri lakini vichaka vyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.