"Kama mwenyekiti wa Mtandao wa Askari wa Kike Mkoa wa Arusha, na waomba sana wananchi tupendane. Mtupende. Mimi nasema polisi ni kama jalala. Polisi ni kama hovyo hovyo. Utamkataa leo polisi, kesho huyo anakuja kukubeba. Kesho huyo anakuja kukunyanyua. Kesho huyo anakuja kukamatia mwizi wako...