Wazima jamani!
Hivi hili suala la kuchukiana bila sababu ni kwa wanawake tu ama na Nyie wanaume mnakutana nalo? Unaenda sehemu ukiwasili tu kama wewe ndo jini mkata kamba! Ni kwamba chuki za ghafla zinaanza, ukijitathmini hakuna cha tofauti Umefanya.
Kwenye vitabu vya dini vimeandikwa kuwa...
We angalia tu around you. Watu wenye akili wanatengwa na jamii. Inawaona wanajisikia au wajeuri au wana majidai. Sababu kwa asilimia 90 jamii ina wendawazimu wengi kuliko wenye akili.
Mi najiona kabisa kila nikitoa hoja watu wanapinga sababu hawaelewi. Ila wachache wenye akili ndo wanaelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.