Papa Francis anadaiwa kuwaambia maaskofu wa Italia kutowaruhusu wanaume mashoga kupata mafunzo ya ukasisi, huku magazeti mawili ya Italia yakidai kuwa papa huyo mwenye umri wa miaka 87 alitoa maneno ya chuki dhidi ya watu wa jinsia moja katika mkutano wa faragha wiki iliyopita.
Wakinukuu vyanzo...