chuki ya ndugu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hakuna chuki mbaya kama ya ndugu wa damu. Je, wewe imewahi kukutokea na ulitatuaje hili tatizo?

    kumekuwa na Kesi nyingi za kaka na dada, mama na mtoto, baba na mama yani ni hatari. Inafikia Hatua hadi wanatamkiana maneno mabaya. Kesi nyingi Mahakamani ni za ndugu aidha wakigombea mirathi, Ardhi au mambo mengine. Tumalize Chuki na tujenge Umoja ili shetani asipate nafasi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…