Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa Amos Makalla akiwa kwenye mkutano wa hadhara Segerea amesema kuwa kuna vyama vinaongozwa kwa misingi ya kikabila na kikanda
Chama cha Mapinduzi (CCM) kina historia ya uongozi katika nchi hii (Jamhuri ya Muungano wa Tanzania), vyama vingine...