Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu raia wa Burundi, Ferdnand Ndikuriyo (27) maarufu 'Chuma cha Chuma', kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela na kulipa faini ya TSh. 500,000 baada ya kupatikana na hatia ya kuwepo nchini Tanzania bila kuwa na kibali.
Chuma cha Chuma ambaye ni msanii...