Wana-jamii wenzangu mimi nina tatizo la kupumua kwenye chumba kidogo, ama kwenye korido ndefu isiokuwa na uingizaji wa hewa fresh kutoka nje.
Aidha, nikipanda lift mara mlango unapofungwa hupata tabu sana ya kupumua, mara kadhaa hushindwa kuendelea na safari yangu ya floor ninayokwenda. Aidha...