chunya

Chunya District is one of the seven districts of Mbeya Region, Tanzania. It is bordered to the north by Tabora Region, to the northeast by Singida Region, to the east by Mbarali District, to the south by Mbeya Rural District, and to the west by Songwe District.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of Chunya District was 206,615.In 2006, the District Commissioner of Chunya District was Frank Uhahula.In 2015, Songwe District was split from the western part of Chunya District and integrated into the newly created Songwe Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Ujenzi Ofisi Mpya ya Mkuu wa Wilaya Chunya Kupangiwa Bajeti 2025/2026

    UJENZI OFISI MPYA YA MKUU WA WILAYA CHUNYA KUPANGIWA BAJETI 2025/26 Naibu Waziri, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Dkt. Festo Dugange amemuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kuweka kwenye bajeti ya mwaka wa fedha 2025/26 maombi ya fedha kwaajili ya ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chunya. Mhe...
  2. T

    Mkuu wa Wilaya ya Chunya, ameagiza kuundwa kwa mfuko maalumu utakaoshughulikia majanga ya asili yanayowakumba wakulima

    Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya Mbarak alhaj Batenga, ameagiza kuundwa kwa mfuko maalumu utakaoshughulikia majanga ya asili na moto ambao utasaidia kupunguza hasara inayawapata wakulima wa tumbaku wilayani humo. Batenga alitoa kauli hiyo alipokuwa akikabidhi gari kwa wakulima wa tumbaku...
  3. KERO Makongolosi Chunya Mbeya mji unaoongoza kwa utupaji holela wa Takataka na mamlaka zipo zimetulia

    Habari wanaJF ukweli huu mji umekithiri kwa uchafu si ajabu kukuta taka zimetupwa sehemu yoyote mtu anapojiskia na hakuna anayekemea. Kamati ya Mazingira itakuwa wako likizo mpaka warudi mambo yatakua sio mambo je huko kwenu kukoje?
  4. Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mubarak Batenga, amefanya ziara katika vijiji vya Matondo na Itumbi na kugundua changamoto kubwa zinazokabili wananchi

    Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mubarak Batenga, amefanya ziara katika vijiji vya Matondo na Itumbi na kugundua changamoto kubwa zinazokabili jamii katika maeneo haya. Katika ziara hiyo, alikuta hali ya ukosefu wa maji safi na salama, jambo ambalo ni muhimu kwa afya na ustawi wa wananchi. Maji ni...
  5. B

    Biashara ya Dhahabu

    Kwa wadau wote wa biashara ya dhahabu, hasa wale waliobobea katika ununuzi na uuzaji wa dhahabu kwa wingi (Broker na Dealer). Nimekuwa nikifikiria kuanzisha biashara ya ununuzi wa dhahabu hapa Tanzania, na ningependa kusikia ushauri wenu. Nina bajeti ya takriban shilingi milioni 400 hadi 500 za...
  6. Waziri Mavunde Asimamisha Uchimbaji Madini kwenye Mto Zila Kijiji cha Ifumbo, Wilayani Chunya - Mbeya

    WAZIRI MAVUNDE ASIMAMISHA UCHIMBAJI MADINI KWENYE MTO ZILA KIJIJI CHA IFUMBO, WILAYANI CHUNYA-MBEYA ▪️Aelekeza shughuli za uchimbaji madini kusimama kipindi hichi cha Masika kama ilivyoelekezwa na NEMC ▪️ Timu ya Wataalam kufanya tathmini kwa kina na kutoa taarifa ya athari ya Mazingira...
  7. Wachina wasio na vibali vya kufanya kazi nchini,wazidi wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya.

    Uhamiaji na Changamoto za Kijamii Wilaya ya Chunya Katika kipindi hiki, tumeweza kushuhudia mabadiliko makubwa katika hali ya uhamiaji nchini Tanzania, hasa katika maeneo ya vijijini kama Kijiji cha Itumbi, Kata ya Matundasi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya. Katika muktadha huu, ni muhimu...
  8. S

    Maelezo ya alivyouawa mwenyekiti wa UVCCM huko Chunya yana ukakaksi sana, Polisi fanyeni kazi yenu kwa umakini

    Nimesoma maelezo ya msichana aliekuwa nae alipouwawa, yana ukakasi sana. Kuna coincidence ambazo labda ni polisi wetu tu waliozoea kutunga kesi dhidi ya wapizani wataikubali. Inaripotiwa kuwa huyu UVCCM, mwenye biashara ya kuchoma chama klabu moja, alipigiwa simu kuwa kuna mbuzi wanauzwa aende...
  9. LGE2024 CHADEMA Chunya wapania kuiondoa CCM madarakani

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) @chadematzofficial jimbo la Lupa wilaya ya Chunya mkoani Mbeya kimezindua mikutano yake ya kampeni kwa ajili ya kuwanadi wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, vitongoji na vijiji na kuwaomba wananchi kujitokeza...
  10. Serikali ya Mbeya ituambie kuhusu uwepo wa Kipindupindu maeneo ya Itumbi - Chunya inadaiwa Watu wanapoteza maisha

    Ndugu zangu kama una rafiki au ndugu maeneo ya Itumbi Wilayani Chunya hapa kwetu Mbeya jaribu kumjulia hali mara kwa mara sababu mji umevamiwa na Kipindupindu. Taarifa zilizopo japokuwa Mamlaka haijaweka wazi ni kuwa kuna zaidi ya Watu 10 wahofiwa kupoteza maisha kwa ugonjwa huo katika Mji wa...
  11. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya: Taarifa ya Vifo cha Wananchi kwa Ugonjwa wa Kipindupindu Kijiji Cha Itumbi, Wilaya ya Chunya

    Utangulizi Katika muktadha wa afya ya umma, ni muhimu kuwa na ufuatiliaji wa haraka na wa kina wa matukio yanayoathiri jamii. Katika eneo la Kijiji Cha Itumbi, kata ya Matundasi, wilaya ya Chunya, kuna taarifa za kusikitisha kuhusu kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu, ambao umesababisha vifo vya...
  12. J

    11 wafariki dunia, 44 wajeruhiwa kwa ajali ya basi Mbeya

    Watu 11 wamepoteza maisha na wengine 44 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya A-N Coach kupata ajali katika eneo la Luanjilo Wilaya ya Mbeya Vijijini. Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo Ijumaa, Septemba 6, 2024 baada ya basi hilo lililokuwa likitoka Mbeya kwenda Tabora kupinduka wakati...
  13. KERO Jimbo la Lupa-Chunya limetawaliwa na CCM tangu uhuru, halina barabara ya lami hata nusu kilometer

    Ukweli Tanganyika ni nchi ngumu. Jimbo la lupa lililopo chunya, halina hata nusu Kilomita ya Barbara ya Lami. Na Cha kufurahisha mbunge wake Yuko bungeni na anatarajia kurudi kuomba kura tena, ili aendelee kuwa mbunge wa Lupa. Ninashauri CCM itusaidie kumuondoa mbunge wa sasa, itupatie mtu...
  14. Mkurugenzi wa Chunya akataa maombi ya Diwani na Wananchi kuhusu kushusha bei ya kuhifadhi maiti

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, Tamimu Kambona amegoma kupunguza gharama za kuhifadhia maiti 'mochwari' katika Vituo vya Afya vilivyopo wilayani humo kutoka Sh. 40,000 kwa siku mpaka Sh 20,000, baada ya maombi kadha kutoka kwa Wananchi ambao wamekuwa wakidai kiwango...
  15. Tanesco Wilaya ya Chunya tangu Jana saa 8 mchana hadi leo asubuhi hakuna umeme!

    Mama na bibi yule alikokwenda amekuta umeme au Yuko gizani kama sisi huku Chunya? Tangu Jana saa 8 mchana hadi leo asubuhi tarehe 24.1.2024 hakuna umeme. Rais anajisikiaje huku Indonesia alikoenda nasi tuko gizani na kazi zimesimama? Ameacha makonda na viongozi wachache wakisema kura Kwa mama...
  16. Tanesco Wilaya ya Chunya , umeme umekuwa ANASA, unakatwa Kwa makusudi au ni mgao?

    Waziri wa nishati tembelea Wilaya ya chunya Kwa ziara ya kushtukiza kuna kitu utajifunza kuhusu ukatwaji wa umeme chunya. Kwa siku umeme unakuwepo Kwa nusu saa au usiwepo kabisa! Umeme umekuwa anasa!
  17. Tanesco wilaya ya Chunya kama tumewakosea mtusamehe! Umeme unakatika kila siku!

    Kila siku chunya umeme unakatwa! Tanesco kama tumewakosea mtusamehe! Tupatieni umeme kama mmetusamehe!
  18. Barabara ya kilomita 13 Matundasi - Chunya -Itumbi kujengwa kwa kiwango cha lami?

    Kuna mahali nimesoma kwenye bajeti ya maendeleo ya serikali kuu 2023/24 inaonesha barabara ya matundasi kwenda itumbi kujengwa kwa kiwango cha lami. Mwenye uelewa wa jambo hili ninaomva atujuze. Je, mkandarasi alishapatikana? Je, ujenzi unaanza lini?
  19. Profesa Kitila Mkumbo: Asilimia 78 vijijini wanapata maji Safi na Salama

    Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb), Waziri Wa Nchi, Ofisi Ya Rais, Mipango Na Uwekezaji, akiwasilisha Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2024/2025 amesema Kiwango cha wananchi wanaopata maji safi na salama kimeongezeka hadi kufikia asilimia 88.6 mijini na asilimia 78...
  20. Utoroshwaji wa dhahabu Wilayani Chunya nini kifanyike?

    Kufuatia taarifa iliyotolewa tarehe 28/10/2023 katika Mkoa wa Mbeya wilaya ya Chunya. Kuhusu wachimbaji kukutwa na vipande 160 vya dhahabu, walivyokuwa wakivitorosha kwenda kuuza nje ya mfumo rasmi. Ni malalamiko ya wachimbaji wengi kuwa mfumo rasmi wa ununuzi wa dhahabu umekuwa na ushuru...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…