Naomba mnisaidie anayejua chuo kinachofundisha kushona nguo kwa maeneo ya Wazo, Tegeta hadi Kawe.
Nina binti yangu nataka ajifunze ufundi nguo ila sijui nampeleka kujifunzia wapi? Naomba msaada wadau
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi ya Bachelor of Health Services Management nina shauku ya kupata GPA ya 4.5 had 5.
Naomba ushauri wenu wataalamu nin nikazie au nifanye!
Ahsante naomba kuwasilisha!
Msichana kachaguliwa DIT-Bachelor in Computer Engineering na MUST-Bachelor of Technical Education in Civil Engineering. Je mnamshauri athibitishe kujiunga na chuo kipi kati ya hivyo?
Je, kati ya MUST (Mbeya University of science and technology) na Arusha Technical ni kipi chuo bora ambacho unamshauri mdogo wako asome kwa masomo ya Computer?
Habari Wana JF ....nimefanya maombi ya chuo diploma serikalini ila sijapata hovyo naulizia chuo Cha private kizuri ambacho naweza pata mojawapo ya hzo course nikasome maana Nina mpango wa kwenda degree
Nimepata wakati mgumu wakati najaribu kuapply chuo bora chenye kumjenga mwanafunzi awe competent kwenye computer science field naombeni ushauri ni vyuo gani bora vya diploma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.