chuo bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Chuo bora cha ushonaji maeneo ya Tegeta, Wazo hadi Kawe

    Naomba mnisaidie anayejua chuo kinachofundisha kushona nguo kwa maeneo ya Wazo, Tegeta hadi Kawe. Nina binti yangu nataka ajifunze ufundi nguo ila sijui nampeleka kujifunzia wapi? Naomba msaada wadau
  2. K

    Naomba ushauri ili niweze kupata ufaulu mzuri chuo GPA ya 4.5 - 5

    Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi ya Bachelor of Health Services Management nina shauku ya kupata GPA ya 4.5 had 5. Naomba ushauri wenu wataalamu nin nikazie au nifanye! Ahsante naomba kuwasilisha!
  3. J

    Chuo kipi kinatoa shahada bora ya udaktari (MD) kati ya hivi?

    1. HUBERT KAIRUKI - DAR. 2. KAMPALA INTERNATIONAL-DAR. 3. ST. FRANCIS - MOROGORO 4. ST. JOSEPH -DAR
  4. M

    Msaada: Ushauri kuhusu chuo cha kusoma na kozi yake

    Msichana kachaguliwa DIT-Bachelor in Computer Engineering na MUST-Bachelor of Technical Education in Civil Engineering. Je mnamshauri athibitishe kujiunga na chuo kipi kati ya hivyo?
  5. E

    Je, kati ya Chuo cha MUST na Arusha Technical ni kipi chuo bora kwa masomo ya Comouter

    Je, kati ya MUST (Mbeya University of science and technology) na Arusha Technical ni kipi chuo bora ambacho unamshauri mdogo wako asome kwa masomo ya Computer?
  6. C

    Chuo Bora Cha private diploma kwa course ya dental au radiology

    Habari Wana JF ....nimefanya maombi ya chuo diploma serikalini ila sijapata hovyo naulizia chuo Cha private kizuri ambacho naweza pata mojawapo ya hzo course nikasome maana Nina mpango wa kwenda degree
  7. Chuo gani bora kwa Computer Science Tanzania?(Kwa ngazi ya Diploma)

    Nimepata wakati mgumu wakati najaribu kuapply chuo bora chenye kumjenga mwanafunzi awe competent kwenye computer science field naombeni ushauri ni vyuo gani bora vya diploma
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…