CHUO CHA ARDHI TABORA CHAHUISHA MITAALA KUENDANA NA DIRA 2050
Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) kimefanya mapitio kwa kushirikiana na wadau kuhuisha mitaala ya taaluma za Jiomatikia na Mazingira pamoja na mitaala mipya za Mifumo ya Taarifa za Kijiografia (GIS) na Mipangomiji na Vijiji ili...