Baada ya Mwananchi ambaye ni Member wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mhitimu wa Igabiro Training Institute of Agriculture Wilayani Muleba kueleza kuwa Wahitimu wa awamu mbili chuoni takribani miaka miwili hawajapata vyeti licha ya kukamilisha taratibu zote, hatimaye vyeti vimetolewa...