Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameweza kuonyesha upande wake wa burudani kwa kucheza na kuimba wimbo wa msanii Zuchu wakati wa Mahafali ya 48 ya Chuo cha Maji yaliyofanyika leo, Novemba 13, 2024, katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam ambapo alikuwa mgeni rasmi.
Kuna kero ya mfumo wa Gesi kuvuja katika eneo la darajani Ubungo Interchange (Fly-over) ambapo mkondo wa bomba la gesi umepita imekuwa kero kwa wanafunzi hasa wa Chuo cha Maji na wafanyabiashara wa maeneo ya karibu.
Tunaomba Serikali ifanye uchunguzi juu ya suala hili
Anonymous
Thread
chuochuochamaji
gesi
kero
maji
mfumo
ubungo
ubungo interchange
wanafunzi
Waziri wa Maji, Mheshimiwa Jumaa Aweso, amefanya kikao kazi na watumishi wa Chuo cha Maji pamoja na kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Miundombinu ambayo mchakato aliuanzisha na Rais Samia kuridhia kutoa fedha na tayari Ukarabati wa Mabweni umekamilika na sasa kazi ya ujenzi wa Maktaba kubwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.