Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP), Profesa Hozea Mayaya, amesema kuwa APRM Tanzania ni taasisi muhimu kwa taifa, kwani tafiti zake zinachochea maendeleo katika nyanja mbalimbali nchini.
Akifafanua zaidi kuhusu mchango wa APRM Tanzania, Profesa Mayaya alisema hayo wakati wa...