Ndugu zangu Watanzania,
Katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Morogoro ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo,uzinduzi na uwekaji wa mawe ya msingi kwa ujenzi wa miradi mbalimbali,utatuzi wa kero mbalimbali za wananchi.
Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama...