Tunaiomba Serikali kupitia Wizara husika ijaribu kufatilia chuo hiki kuna kila dalili za kutokuwajibika kwa watumishi wake na kutokutumia madaraka yao vyema, wapo wanafunzi waliowahi kusoma chuoni hapo mwaka 2020-2021 mpaka hivi sasa hawajapatiwa vyeti vyao na wakiuliza hakuna majibu ya...