MAMA ANATEKELEZA - UPANUZI WA CHUO CHA UALIMU DAKAWA, KILOSA MKOANI MOROGORO
Jumla ya Majengo 32 yanagharimu kiasi cha shillingi billioni 8.5.
Kukamilika kwa mradi kutawezesha ongezeko la udahili kutoka wanachuo 500 hadi 1000 kwa mwaka.
#SamiaAPP
#KaziIendelee