Mratibu wa Mafunzo Kituo cha Shule ya Sekondari Bagamoyo, Winchslaus Balige akizungumza katika mafunzo hayo.
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imechukua hatua madhubuti kukabiliana na uhaba wa wataalamu wa sayansi nchini kwa kuanzisha mafunzo endelevu kwa walimu wa...
TAARIFA SAHIHI KUHUSU TUHUMA ZA WANAFUNZI 400 WANAODAIWA KUONDOLEWA MASOMONI
Kusoma taarifa ya awali, bofya hapa ~ Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Kuna Nini? Wanafunzi zaidi ya 400 wame disqualify
Chuo Kikuu cha Dodoma kimepitia taarifa zinazosambazwa mitandaoni za madai zenye madai ya wanafunzi 400...
Miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) haswa upande wa Hostel za Social umekuwa kikwazo kwa wanafunzi wanaotumia hivyo tunaomba mamlaka ishughulikie hili suala kwa afya bora za Wanafunzi.
Pia soma > KERO - Ubovu wa miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma Ndaki ya Sayansi ya Kompyuta...
Takriban wahitimu 20 wa chuo kikuu Cha Dodoma (UDOM) kitivo Cha Elimu tuliohitimu mwaka wa masomo 2019-2020 hatujapatiwa vyeti vya kuhitimu
Tumefatilia wanasema changamoto ni matokeo ya mwaka wa kwanza yaani 2017-2018 kuwa baadhi yetu walipata incomplete baadhi ya masomo na we gine Carry, but...
Anonymous
Thread
changamoto
changamoto matokeo udom
changamoto ya matokeo
chuokikuuchuokikuuchadodoma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.