chuo kikuu cha makerere

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. OKW BOBAN SUNZU

    Tundu Lissu aalikwa katika mhadhara wa Chuo Kikuu cha Makerere

    Mh. Tundu Lissu amealikwa Chuo Kikuu cha Makerere kutoa mhadhara wa umma juu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na ushawishi wake katika siasa na katiba za Afrika Mashariki. Tega sikio
  2. GENTAMYCINE

    Chuo Kikuu Makerere chazindua mfumo wa kidigitali wa kufuatilia mahudhurio kwa wafanyakazi na wanafunzi

    Makerere University has launched a digital system that will enable it effectively monitor attendance of staff and students in order to limit the vice of dodging classes. The two systems the Biometric access and Student Attendance Management System (SAMS) were launched on Friday, May 3rd, 2024...
  3. BARD AI

    Wanafunzi 1,000 wanaaacha masomo Chuo Kikuu cha Makerere kila mwaka kwasababu ya Kubeti

    UGANDA: Chuo Kikuu cha Makerere kimesema takriban Wanafunzi 1,000 wanaacha au kuachishwa Masomo kila mwaka kutokana na kupoteza Fedha za Ada wanazozitumia kwenye Michezo ya Kubashiri maarufu kama 'Kubeti' Kauli hiyo imetolewa na Profesa Barnabas Nawangwe ambaye ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu...
  4. mac muga 98

    Waliosoma Makerere, Mbarara au chuo chochote cha afya (Uganda)

    Habari. Nilikuwa naomba mawasiliano ya mtu yeyote aliyesoma au anayesoma (MD) katika chuo chochote cha afya (Uganda) ilikupata a,b,c
  5. farajagastomlamba

    Historia ambayo wengi hawaifahamu kuhusu Chuo Kikuu cha Makerere na Hospitali ya rufaa ya Mulago nchini Uganda

    Nikiwa katika mahafali ya wanafunzi waliohitimu masomo yao katika chuo Cha Kingdom Builders Bible Academy (KBBA) kilichopo Isole mkoani Geita tarehe 18/08/2022 ndipo nilipofahamu kwa ufupi historia ya chuo kikuu Cha Makerere na Hospitali ya rufaa ya Mulago iliyopo nchini Uganda” Faraja Gasto...
Back
Top Bottom