Chuo hiki kina migogoro mikubwa ya ardhi na wananchi, ni lazima sasa ifanyiwe kazi, mkoa utulie, kila mahala SUA ilipo karibu kuna mgogoro, sasa Wizara ya Elimu, Ardhi, wapige kambi hapo, wayamalize, ili maisha yaendelee.
Pia soma
- Abood ageuka mbogo Mgogoro wa ardhi baina ya Kidondolo na Chuo...