chuo kikuu huria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Chuo Kikuu Huria: Matokeo yanatarajiwa kuanza kutoka muda wowote kuanzia leo Januari 27, 2025

    Kufuatia hoja iliyoibuliwa na Mdau wa JamiiForums.com kuwa Chuo Kukuu Huria cha Tanzania (OUT) kimekuwa na kawaida ya kuchelewesha matokeo ya mitihani, ufafanuzi umetolewa kutoka chuo. Kusoma hoja ya Mdau, bonyeza hapa ~ Chuo Kuu Huria hakitoi kwa wakati matokeo ya Mitihani, tunalazimika kutoa...
  2. Roving Journalist

    Uongozi wa Chuo Kikuu Huria wasema utaboresha mazingira ya Kampasi ya Singida

    Novemba 18, 2024, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa ushauri kwa Uongozi wa Chuo Kikuu Huria ufanye Ukarabati wa Mazingira ya Chuo hicho, Kampasi ya Singida kwa maelezo kuwa hayaendani na hadhi ya 'Chuo Kikuu'. Alisema na kuonesha picha pamoja na video na kuwa kuna majani yameota ovyo Chuoni...
  3. EEM M

    Kusoma Masters ya Sheria Chuo Kikuu Huria (OUT), Je, GPA inapatikana?

    Habari za muda ndugu zangu. Binafsi nimewiwa sana kujiendeleza kwa kusoma Masters katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University) kwani mbali na ubora wa elimu inayopatikana napo na kukifanya kiwe Chuo Kikuu cha pili Tanzania kwa ubora nimeamua kupapendekeza hapo kama chaguo langu la...
  4. T

    KERO Chuo Kikuu Huria - Singida kiboreshe mazingira yake, ni kama vile kimetelekezwa

    Mazingira ya Chuo Kikuu Huria, Kampasi ya Singida yanasikitisha sana kutokana na kuonekana kuwa duni. Majani yameota hovyo hovyo.... mazingira mabovu hayavutii wala hamna hadhi ya 'Chuo Kikuu'. Wakati wa mvua ndio huwa pabovu zaidi kwasababu eneo lenyewe lipo ziwani. Pia sehem za kusomea...
  5. JanguKamaJangu

    Dar: Watuhumiwa 17 wakamatwa wakitaka kuwafanyia Mtihani Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria (OUT), Prof. Elifas Bisanda ameliomba Jeshi la polisi kuwafikisha Mahakamani haraka iwezekenavyo watuhumiwa 17 waliokamatwa wakijaribu kuwafanyia mtihani wanafunzi mbalimbali chuoni hapo. Prof. Bisanda ameyasema hayo Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi...
  6. econonist

    Mkuu wa Chuo Kikuu Huria akanusha kuvuja kwa mitihani, 17 wadakwa wakijifanya wanafunzi

    Watu 17 wakamatwa kwa jaribio la kutaka kuwafanyia mitihani wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania. Ni muda TCU wawe makini. --- Mkuu wa Chuo Kikuu Huria (OUT), Profesa Elifasi Bisanda amekanusha kuvuja kwa mitihani na kuwepo kwa vitendo vya udanganyifu wakati wa mitihani cmya muhula...
  7. Kindeena

    Nape Mosses Nnauye ni mwanafunzi halali wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

  8. Erythrocyte

    Tuhuma za elimu ya Nape Nnauye yakiamsha Chuo Kikuu Huria

    Taarifa ya Chuo hicho hii hapa
  9. peno hasegawa

    Chuo Kikuu Huria (OUT), mnatakatisha vyeti vya wanasiasa?

    Mkuu wa chuo, Mizengo Pinda, Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Prof. Joseph Kuzilwa, heshima yenu wakubwa. Prof. Elifas Tozo Bisanda, Professor of Mechanical Engineering. Mbobezi katika renewable energy. Tafiti kuhusu...
  10. A

    DOKEZO Wanafunzi Chuo Kikuu Huria: Malalamiko dhidi ya utendaji wa Wakufunzi wetu

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Kwenda kwa: Makamu Mkuu wa Chuo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania YAH: MALALAMIKO YETU WANAFUNZI KUHUSU MATOKEO Husika na kichwa cha habari Sisi ni Wanafunzi wa Department of Mathematics, Information and Communication Technology kwa ngazi mbalimbali...
  11. JanguKamaJangu

    Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kuhamia Dodoma

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Prof. Elifas Tozo Bisanda, ametanabaisha ya kwamba makao makuu ya OUT yanatarajiwa kuhamia jijini Dodoma baada ya kupata eneo na fedha kutoka serikalini kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET). Prof. Bisanda, ametanabaisha...
  12. Roving Journalist

    Makamu wa Rais Mpango, ataka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kusimamia ubora wa elimu inayotolewa chuoni hapo

    Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimetakiwa kusimamia ubora wa elimu inayotolewa chuoni hapo ili kuhakikisha hadhi ya Chuo na elimu ya Tanzania kwa ujumla inalindwa. Hayo yamesemwa leo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Philip Mpango wakati alipotembelea Chuo hicho...
  13. Analogia Malenga

    Nimepita Chuo Kikuu Huria - Kinondoni, nimeona pameandikwa 'hapauzwi'

    Aisee nimestuka sana, kwamba kuna mtu alitaka kuuza Chuo Kikuu Huria tawi la Kinondoni. Tawi la Kinondoni ambalo lipo Biafra karibu na ofisi za Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria. Je, kulikuwa na tapeli aliyetaka kuuza chuo?
  14. bush crazy

    Hivi inawezekana kwa aliyesoma Chuo Kikuu Huria shahada ya kwanza na pili akafundisha UDSM, SUA, Muhimbili au UDOM?

    Naombeni muongozo wadau kabla ndugu yangu hajichanganya maana Ana GPA ya 4.4 anataka kusoma masters open ili aje apambanie u-assitant lectucter?
  15. Tanzania Nchi Yetu Sote

    Wenye majukumu ya kazi, biashara na familia jiungeni Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

    WENYE MAJUKUMU YA KAZI BIASHARA NA FAMILIA JIUNGENI CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA Kama wewe ni mtu ambaye una majukumu ya kazi, biashara au ya kifamilia na unapenda kujiendeleza kielimu, njoo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ndipo mahali pake. Chuo hiki cha umma kinaendeleza watumishi wa umma na...
  16. Kasomi

    Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

    Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (kwa Kiingereza: Open University of Tanzania) ni chuo kikuu kinachotoa kozi za cheti, stashahada na shahada kupita masomo ya mbali (Distance Learning). Makao makuu yako Dar es Salaam, Tanzania. Chuo Kikuu Huria kina takribani wanafunzi 70,000 kutoka ngazi mbalimbali...
  17. Analogia Malenga

    Baraza la Chuo Kikuu Huria Tanzania lamtaka Prof. Bisanda aombe radhi kuhusu waraka wa Corona alioutoa

    Baraza la Chuo Kikuu Huria, limekaa kikao cha dharura na kuagiza Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda aombe radhi kwa Wizara ya Elimu, Chuo Kikuu Huria na Umma kwa waraka wa tahadhari ya #CORONAVIRUS alioutoa Februari 8, 2021. Prof. Bisanda alitoa waraka kuwatahadharisha wafanyakazi...
  18. mfalmeselemani

    Naomba kujua gharama za ada Chuo Kikuu Huria

    Wadau, nataka kuomba kujiunga na Masters of HR pale chuo kikuu Huria, naomba kujua jinsi wanavyotoza gharama kwa hizo unit zao, na kiasi gani (minimum) ambacho mtu anatakiwa kulipa kwenye fees ili aweze kupokelewa na kuanza masomo. Natanguliza shukrani
  19. sychellis

    Ni njia zipi za kukuza GPA kama ikitokea umemaliza Chuo na GPA ndogo

    Wakuu naomba mwenye ujuzi anijuze njia zipi unaweza kutumia kukuza GPA kama ukimaliza na GPA ndogo. na pia nataka nijue ukimaliza chuo na GPA chini ya 3 unaweza kupata kazi
  20. Jamii Opportunities

    Nafasi za Kazi kutoka Kituo cha Ufundishaji Data cha Afrika Mashariki, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Ofisi ya Mwanasheria ya Serikali

    UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/K/154 11th February 2020 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of The Open University of Tanzania (OUT), The Eastern Africa Statistical Training Centre (EASTC) and The Office of the Solicitor...
Back
Top Bottom