chuo kikuu iringa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO University of Iringa (zamani Tumaini University) wamekuwa hawajali wanafunzi hasa linapokuja suala la kitaaluma

    Hii inatokana kwamba mimi na wenzangu tumekuwa tukipewa ushirikiano mdogo sana hapa chuoni, kwamba mpaka sasa niko mwaka wa tatu na ninatalajia kuhitimu masomo mwaka huu wa masomo 2023/2024. Tumekuwa na shida ya results zetu nikimaanisha hawajaweka baadhi ya matokeo yetu ambapo ni matokeo ya...
  2. A

    KERO Chuo Kikuu Iringa kina changamoto katika ulipaji wa ada

    Kumekuwa na changamoto katika mfumo wa chuo unaopelekea wanafunzi kushindwa kulipa ada ili waweze kufanya mitihani kwa wakati leo tarehe 8 Julai majira ya saa 7 usiku wanafunzi wapo ofisi za uhasibu wakijaribu kupata vitambulisho vya mitihani na asubuhi kukikucha waingie kwenye mitihani...
Back
Top Bottom