chuo kikuu mzumbe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzito Kabwela

    KERO Kizungumkuti vyeti vya wahitimu Chuo Kikuu Mzumbe kampasi ya Dar es Salaam

    Wahitimu wa Chuo kikuu Mzumbe kampasi ya Upanga Dar Es Salaam wapo katika wakati mgumu baada ya chuo hicho kushindwa kuwapa vyeti vyao vya kuhitimu bila maelezo yanayoeleweka. Hatua hiyo imekuja mwezi mmoja baada ya wahitimu hao kutunukiwa shahada za umahiri na aliyekuwa Makamu wa Rais wa...
  2. R

    Chuo Kikuu Mzumbe mmetumia vigezo gani kumtunukuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi?

    1. Katika historia ya Tanzania, hakuna kipindi ambacho demokrasia imekanyagwa kama kipindi hiki cha Rais samia. Dunia ya leo base kubwa ya uogozi bora inapimwa na demokrasia katika utawala husika 2. Haki za binadamu zimmekanyagwa kuliko kipindi chochote kila hata kuzidi kipindi cha mtangulizi...
  3. D

    Kwanini huitwa Chuo Kikuu Mzumbe na sio Chuo Kikuu cha Mzumbe?

    Embu tuelelewesheni utofauti hapa kwanini hii Taasisi inaitwa Chuo kikuu Mzumbe na isiwe Chuo kikuu Cha Mzumbe. Kama ilivyo kwa Chuo Kikuu Cha Dodoma, au Chuo Kikuu Cha Dar-Es-Salaam n.k
  4. ChoiceVariable

    Chuo Kikuu Mzumbe chamtunukia Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi

    https://www.youtube.com/live/4zaJF1ulpWo?si=IAPHRSt9HALIxBDp Chuo Kikuu Mzumbe kinatarajia Kumtunuku Rais Samia Shahada ya Udakatri wa Heshima katika Uongozi wa Chuo kama ishara ya kutambua jitihada zake katika kuboresha Elimu ya Juu Nchini hasa miundombinu,Utafiti na kuongeza idadi ya udahili...
  5. chiembe

    Kwanini kozi za uongozi wa serikali za mitaa zitolewe chuo kikuu mzumbe halafu za maedeleo vijijni zitolewe Chuo mipango Dodoma?

    Samia yuko Morogoro, time to trigger Hawa wa mitaa waungane hapo Dodoma?
  6. A

    KERO Wanafunzi Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro hatujalipwa fedha zetu za refund toka mwaka 2023 licha ya Uongozi wa Chuo kuahidi kushughulikia Septemba 2023

    Rejea kwenye mamaliko ya uzi huu - Chuo Kikuu cha Mzumbe chakiri Wanafunzi zaidi ya 500 wanadai malipo ya 'refund' chuoni hapo Hadi Leo hii pesa zetu bado hatujalipwa na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa zaidi ya kuzungushwa tu. Tunaomba mtusaidie wanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro...
  7. M

    Cheti cha Emmanuel Kayumpu kutoka chuo cha Mzumbe kimeokotwa

    Habari za muda wakuu; Kuna Cheti cha huyu mtu kamaliza mzumbe 2018 kimeokotwa ...nashare hapa Kwa anayemfah amfahamishe.
  8. N

    Wanafunzi Chuo Kikuu Mzumbe wadai kucheleweshewa pesa yao waliyolipa kwa ajili ada kabla ya Serikali kuwaongeza mkopo

    Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Morogoro wanadai kuwa wanakumabana na kizungumkuti katika kudai kurejeshewa pesa yao waliyoilipa kwa ajili ya ada kabla ya Serikali kuwaigizia mkopo wa ada, ambapo wamehoji chuo kinatumia utaratibu gani unaotoa idhini ya kuhodhi pesa hiyo kwa muda huo...
Back
Top Bottom